December 12, 2019

4 COMMENTS:

  1. Sio kocha wenu wa magazetini chambeshi? Ila ingependeza kama ingekuwa chambeshi to be honest anaonekana kuwa mzoefu wa fitina za soka la Africa ingawa sukupenda jinsi blog hii kujifanya wanajua mambo ya ndani ya timu za watu kuliko hata wenye timu hivyooo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naungana na wewe nilikuwa nikisoma hii blog.. ooooh gazeti letu lilikuwa lakwanza kutaja kocha mara tumepenyezewa habari na kiongozi wa ndani wa Simba...mwisho wa siku hola...Ila kwa hili ninawasifu Simba kana kwamba sasa hivi mambo yao ya ndani hayatoki nje ovyo ovyo kama zamani au team nyingine.It mean wanaoingia kwa kikao siyo madomo kaya.

      Delete
  2. Tusipende kujudge huyu coach wakati hata kazi hajaanza,pili kulikuwa na jopo la kuteuwa coach,tuamini kazi yao na tungoje muda utazungumza

    ReplyDelete
  3. Chambeshi mlisema haifai. Huyu mmeanza maneno. Hamridhiki kwa lolote.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic