December 29, 2019


ATHUMAN Chuji, kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Coastal Union ambaye aliwahi pia kuzitumikia kwa mafanikio timu za Simba na Yanga ameibukia klabu ya Singida United.

Singida United iliyo chini ya Ramadhan Nswazurimo imewatambulisha wachezaji wake watatu kwa ajili ya kuongeza nguvu ndani ya kikosi hicho.

Mchezaji mwingine aliyesajiliwa na Singida United Six Mwasekaga aliyetumikia timu ya Stand United na Alliance pamoja na Ame Ally aliyetumikia timu ya Kagera Sugar.

Wachezaji wote hao wamepewa kandarasi ya miezi sita ndani ya Singida United.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic