Kufuatia kuvunja mkataba na klabu ya Yanga, mchezaji Juma Balinya, mashabiki na wadau wa soka wanapaza sauti zao wakimtaka mchezaji huyo kuhamia kwa jirani zao Wekundu wa Msimbazi Simba.
Tunaweza kusema mabingwa wa kihistoria katika soka la Tanzania kwa upande wa Ligi Kuu Bara, Yanga, wanapitia wakati mgumu kutokana na madeni wanayodaiwa na wachezaji wao.








Huyu tayari Simba wamemrubuni wakisaidiwa na Msola "mark my words"...Muda hakimu mzuri mtayasikia!
ReplyDeleteKwani hii ndio mara ya kwanza?
ReplyDeleteAtacheza nafasi ya nani? Asijekuozea benchi
ReplyDeleteHahahahaha atacheza nafasi ya nani huyoo pale msimbazii
ReplyDeleteYaani kagere na boko wakae nje kisa huyoo balinya sijuui
Size yake kulikua huko huko yangaaa
Balinya simba atapata namba, lengo simba kusajili mshambuliaji ilikuwa subs nzuri
ReplyDeletekama wamesajili balinyi ni sub nzuri sana ya boko
ReplyDeleteMnaongelea sana kuhusu MADENI kwa lipi wachezaji hao walilolifanya uwanjani?? Yanga ilikuwa nawashambuliaji ambao walikuwa hawazalishi magoli kabisa hivyo wao ndio walikuwa WADENI zaidi ya kudai MISHAHARA!
ReplyDeleteWamchukue tu hao mikia fc wanatamaa sana
Delete