December 13, 2019


Kufuatia kuvunja mkataba na klabu ya Yanga, mchezaji Juma Balinya, mashabiki na wadau wa soka wanapaza sauti zao wakimtaka mchezaji huyo kuhamia kwa jirani zao Wekundu wa Msimbazi Simba.

Tunaweza kusema mabingwa wa kihistoria katika soka la Tanzania kwa upande wa Ligi Kuu Bara, Yanga, wanapitia wakati mgumu kutokana na madeni wanayodaiwa na wachezaji wao.

8 COMMENTS:

  1. Huyu tayari Simba wamemrubuni wakisaidiwa na Msola "mark my words"...Muda hakimu mzuri mtayasikia!

    ReplyDelete
  2. Atacheza nafasi ya nani? Asijekuozea benchi

    ReplyDelete
  3. Hahahahaha atacheza nafasi ya nani huyoo pale msimbazii
    Yaani kagere na boko wakae nje kisa huyoo balinya sijuui
    Size yake kulikua huko huko yangaaa

    ReplyDelete
  4. Balinya simba atapata namba, lengo simba kusajili mshambuliaji ilikuwa subs nzuri

    ReplyDelete
  5. kama wamesajili balinyi ni sub nzuri sana ya boko

    ReplyDelete
  6. Mnaongelea sana kuhusu MADENI kwa lipi wachezaji hao walilolifanya uwanjani?? Yanga ilikuwa nawashambuliaji ambao walikuwa hawazalishi magoli kabisa hivyo wao ndio walikuwa WADENI zaidi ya kudai MISHAHARA!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic