Gwiji wa Arsenal aliyekuwemo katika kile kikosi kisichofungika ‘Arsenal Invincibles’, Lauren Etame Mayer, anaamini Mikel Arteta anaweza kuipeleka klabu hiyo kwenye nne bora kama akitatua tatizo la kiungo ambalo ndilo linalowasumbua.
Lauren, 42, raia wa Cameroon, anaamini kocha huyo Mhispania ana uwezo wa kufanikiwa Arsenal. “Nadhani Arteta amekuwa mtu muhimu Arsenal. Aliichezea timu yetu mpira mzuri.
“Natumaini anaweza kuirejesha Arsenal kwenye njia za ushindi na kwenye nafasi ambayo sote tunataka klabu yetu iwe.
0 COMMENTS:
Post a Comment