December 27, 2019


MCHEZO kati ya Tanzania Prisons na Yanga uwanja wa Samora umekamilika kwa Yanga kutibua rekodi ya Tanzania Prisons iliyowekwa msimu huu.

Yanga imeshinda kwa bao 1-0 lililopachikwa dakika ya tano na Patrick Sibomana akiwa ndani ya 18 baada ya mabeki wa Prisons kujichanganya kuokoa hatari.

Awali mchezo ilibidi uchezwe Uwanja wa Sokoine,Mbeya ubovu wa miundombinu ukafanya ihamishiwe Samora, mkoani Iringa.


Abdulaziz Makame amerusha jumla ya mipira mitano ambayo ilikuwa inaleta hatari kwa Prisons huku ubabe ukiwa ni sehemu ya mchezo leo alioka kipindi cha pili baada ya kuwa majeruhi nafasi yake ilichukuliwa na Papy Tshishimbi.

4 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic