MABOSI wa Yanga wanataka kufanya kweli ambapo kwa sasa wamepanga kumsainisha kiungo Baraka Majogoro wa Polisi Tanzania ambaye alikuwa anatakiwa na Simba pia.
Chanzo cha
karibu na kiungo huyo kimesema kwamba Yanga wameshaongea na dili
linaweza kukamilika muda wowote kutokana na mashabiki kuelewa kazi yake pamoja na ripoti iliyo mezani.
“Yanga kweli
wamekuja kwa Majogoro na wanamtaka kweli. Tayari hesabu zimeanza kupangwa kabla mipango haijawa sawa," kilieleza chanzo hicho.Ofisa Habari wa Polisi Tanzania. Frank Lukwaro amesema kuwa hajapata taarifa rasmi kuhusu mchezaji huyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment