Gwiji Yaya Toure anaamini kuwa ubaguzi kwenye soka umefikia hatua mbaya zaidi kwa sababu mashabiki wa sasa ni wajinga zaidi ya wale wa zamani.
Kwa miezi ya hivi karibuni, vitendo vya ubaguzi katika mpira barani Ulaya vimeongezeka kwa kasi.
Mario Balotelli Barwuah na Romelu Menama Lukaku Bolingoli ni miongoni mwa wachezaji waliokumbana na ubaguzi kwenye Ligi Kuu ya Italia msimu huu, pamoja na hayo, yapo matukio mengi ya ubaguzi yaliyoripitiwa kwa miezi ya hivi karibuni Ulaya.
Toure amezungumza na Fifa juu ya namna ya kukomesha ubaguzi lakini akasisitiza hauwezi kuondoka haraka.
Nyota huyo wa zamani wa Ivory Coast ambaye sasa anaichezea Qingdao Huanghai ya China, alisema: “Najua itakuwa ngumu na vita hii itachukua muda mrefu.
“Mashabiki, watu, sasa wamekuwa wajinga zaidi ya zamani. Inashtua kwa sababu tupo mwaka 2019. 2020, 2025 tuna watoto wanakuja, tutafanya nini? Huwezi kuendelea
0 COMMENTS:
Post a Comment