GOD IS GOD, YANGA YATEMBEZA 5 G

MUNGU ni mwema kila wakati ni ujumbe wa kiungo mshambuliaji wa Yanga Maxi Nzengeli ambaye alikuwa nje kwa muda kutokana na kutokuwa fiti na amerejea uwanjani Januari 25 2025 akitupia bao moja dhidi ya Copco FC raundi ya tatu CRDB Federation Cup. Baada ya dakika 90 Ubao wa Uwanja wa KMC, Complex umesoma Yanga 5-0…

Read More

SIMBA HESABU KUBWA KWA WAPINZANI WAO ZIPO HIVI

SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa wanatambua umuhimu wa mchezo wao dhidi ya Kilimanjaro Wonders hivyo wataingia kwa tahahari lengo ikiwa ni kupata matokeo mazuri. Simba ikiwa imetoka kucheza mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Constantine, Uwanja wa Mkapa Januari 19 2025, itakuwa na kibarua kingine uwanjani kusaka ushindi Januari 26…

Read More

YANGA YAPIGA HESABU USHINDI WA KISHINDO NAMNA HII

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwenye mechi zilizopo mbele yao ikiwa ni pamoja na mchezo wa CRDB Federation Cup ambao dhidi ya Copco. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex Januari 25 2025  ikiwa ni mchezo wa mtoano na Yanga ni mabingwa watetezi wat aji hilo. Ali Kamwe,…

Read More

SIMBA TAMBO TUPU KISA MITAMBO HII YA MABAO

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wachezaji wao wanatimiza majukumu kwa umakini jambo ambalo linaongeza hatari kwao wakiwa mbele kwa kufunga mabao mengi kwenye mechi za ushindani. Ipo wazi kwamba Leonel Ateba ni kiongozi kwenye safu ya ushambuliaji akiwa ametupia mabao matano na kinara wa kutengeneza pasi za mwisho ni kiungo mshambuliaji Jean Ahoua mwenye…

Read More

UTAMU WA MERIDIANBET UPO IJUMAA YA LEO

Mechi nyingi za kupiga maokoto zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo. Ufaransa LIGUE 1 nayo kitawaka ambapo AJ Auxerre atamenyana dhidi ya AS Saint-Etienne ambao walitoa sare huku mwenyeji yeye akipoteza mechi yake iliyopita, hivyo…

Read More

NYOTA HAWA WAWILI SIMBA BALAA LAO LIPO NAMNA HII

MASTAA wawili ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni balaa zito kwenye mapigo ya penalty kwa kuwa wakishika mpira tu lazima wafunge ikiwa watapewa jukumu la kazi hiyo. Ikumbukwe kwamba kupiga penati kunahitaji umakini mkubwa kutokana na asilimia kubwa wengi kuhesabu kuwa ni bao lakini wapo mafundi wakubwa ambao hukosa…

Read More

YANGA WANABALAA HAO MWENDO WAO GUSA ACHIA

KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic kwenye gusa achia twende kwao balaa zito wakiituliza Simba mazima kwenye kasi ya utupiaji wa mabao ndani ya ligi namba nne kwa ubora. Ikumbukwe kwamba Desemba 2024 ni Clement Mzize ambaye ni mshambuliaji alichaguliwa kuwa mchezaji bora na Sead alitangazwa kuwa kocha bora kutokana na ushindi…

Read More

MKURUGENZI MKUU MERIDIANBET AELEZA MAFANIKIO YA MERIDIANBET

Katika mkutano mkubwa uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2024 jijini Orlando mkurugenzi wa Meridianbet bwana Zoran Milosevic kupitia makampuni ya GMGI alionesha namna ambavyo kampuni hiyo imeweza kua na mafanikio makubwa kwa mwaka 2024 na kujiweka kwenye mazingira mazuri Zaidi ya kupandisha thamani kwa mwaka 2025. https://x.com/meridianbet_ofc/status/1882035687014191504 Tukio hilo la hali ya juu, linalojulikana pia kama…

Read More

KOCHA YANGA AMEWAKIMBIZA VIGOGO HUKO

AMEWAVURUGA vigogo waliopo ndani ya tatu bora Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic huku timu hiyo ikiandika rekodi ya kuwa timu ya kwanza ambayo ilipata ushindi mkubwa bila kuruhusu kufungwa na ni mabao 16 Yanga ilifunga kwenye mechi nne na ilifungwa mabao mawili dhidi ya Mashujaa.

Read More

ALHAMISI YA EUROPA LEAGUE IMEFIKA

Siku ya leo ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Manchester United baada ya kupigika kwenye ligi mchezo wao uliopita, na sasa nguvu watawekeza kwenye Europa na hii leo watakuwa Old Trafford kukipiga dhidi…

Read More

MAN CITY WASHUSHA MSHAMBULIAJI TISHIO

Nyota wa kimataifa wa Misri Omar Marmoush ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Manchester City kwenye msimu wa 24/25. Omar Marmoush amesaini mkataba wa miaka minne wa kujiunga na Manchester City akitokea Eintracht Frankfurt ya nchini Ujerumani. Wachezaji wapya wa Manchester City ni Victor Reis, Abdukodir Khusanov na Omar Marmoush.

Read More