January 14, 2020

9 COMMENTS:

  1. Huyu msemaji wa ovyo sana hajitambui

    ReplyDelete
  2. Huyu sasa anastahili kuitwa "Isha Mashauzi" wa soka maana kila kukicha ni mipasho tu hadi imefikia hatua anawapa mipasho hata wachezaji badala ya kuwapa support

    ReplyDelete
  3. Hakuna msemaji wa hovyo kama huyo mzungu pori

    ReplyDelete
  4. Avalishwe tu dera huyo mzungu pori tujue ...maana si kwa mipasho hiyo

    ReplyDelete
  5. Kwa nini asizungumze juu ya Simba kufungwa na Mtibwa?.

    ReplyDelete
  6. Tunaacha kocha mzuri tunachukuwa kocha mbovu tunaacha wachezaji wazuri tunachukuwa wabovu mo bora ungeachana na hii timu utafilisika hawana shukurani hawa mm ni mwanachama hai nimekerwa sana sana mabilioni unatowa kwa kweli

    ReplyDelete
  7. Hongeren simba kwakupata uwanja wa mazoezi bt manara anasahau kuwa hz timu zetu chochote kinaweza tokea mf azam ni timu ambayo ni sports facilities pengne kulko simba bt nayo haichukui kombe mda tu sometimes unaweza ukawa unalipa vzur na unaviwanja bora kabxa bt bado matokeo yakawa co rafk upande wako

    ReplyDelete
  8. Ifike hatua kila msemaji wa timu husika azungumzie timu yake na kwa manufaa ya timu yake kwa mm nafahamu kuendesha timu zetu iz ni cost kubwa xna na kuna timu nying vpl wachezaji watakuwa wanadai bt wanapambana na matokeo wanapata uwanjani so czan kama kuna timu apa bongo mwisho wa msimu anaingza faida kiuchumi kitu ambacho inaweza kuwekeza kwa ajili ya maendeleo ya club.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic