KIUNGO Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Abdulhumud Humud, 'Gaucho' amesema kuwa ushirikiano unaibeba timu yao pamoja na falsafa makini ya timu hiyo.
Mtibwa Sugar imetinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa penalti 4-1 baada ya kutoshana nguvu ndani ya dakika 90 kwa kufungana bao 1-1.
Bao la Mtibwa Sugar lilifungwa na Haruna Chanongo dakika ya 63 akisawazisha bao la Suleiman Nassoro wa Chipukizi lililofungwa dakika ya 04.
mbona umekata bao moja kabla uandike 4:2 wewe unatuandikia 4:1 kwanini unakata?
ReplyDelete