January 18, 2020

BEKI kisiki ndani ya kikosi cha Simba, Pascal Wawa raia wa Ivory Coast amesema kuwa 'ugonjwa' wake mkubwa kwenye chakula ni wali samaki.

Akizungumza na Saleh Jembe, Wawa amesema kuwa mbali na ukarimu wa watu wa Bongo kuna vyakula vingi vizuri anavyovipenda kuvipata wakati wa mlo wake.

"Kwa upande wangu napenda msosi mzuri na kwa hapa Bongo kuna vyakula vingi ila napendelea sana wali samaki, hapo ndipo naona burudani nikipata, iwe ni samaki mchemsho hata wakavu pia ni freshi," amesema. 

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic