Hii hapa ni taarifa ya Simba kuhusiana na tamko la Ramadhan Kabwili juu ya kupewa IST na viongozi wa klabu ya Simba. Moja ya kilichoandikwa ni Simba kuishukuru TFF kutokana na kuchukua hatua haraka za kuanza kulifuatilia suala hilo.
Kwa imani yetu hata Takukuru walishapewa habari kulishughulikia suala hili ingawaje muhusika mwenyewe kaamua kwenda kupata umaarufu kwenye vyombo vya habari kwa jambo la hovyo badala ya kuliripoti suala hilo katika vyombo husika kwa wakati.
SImba walitakiwa kusema kuwa WATATOA USHIRIKIANO iwapo itabainika kuwa KIONGOZI YEYOTE alihusika katika njama za UPANGAJI wa MATOKEO sio kuishia kulaumu tu!! Mbona wakati ZAHERA anasema kuwa kuna timu ilicheza na Yanga kuna wachezaji waliotoka Yanga walimwambia kuwa wamepewa Milioni 10 ili waikazie Yanga hawakuongea lolote? Na ilikuwa mwaka jana tu? Mbona kocha wa Mbeya City aliposema kuwa Simba wanahonga marefa hawakutoa tamko lolote? Na hata hao TFF walikaa kimya??
Kwa imani yetu hata Takukuru walishapewa habari kulishughulikia suala hili ingawaje muhusika mwenyewe kaamua kwenda kupata umaarufu kwenye vyombo vya habari kwa jambo la hovyo badala ya kuliripoti suala hilo katika vyombo husika kwa wakati.
ReplyDeleteSImba walitakiwa kusema kuwa WATATOA USHIRIKIANO iwapo itabainika kuwa KIONGOZI YEYOTE alihusika katika njama za UPANGAJI wa MATOKEO sio kuishia kulaumu tu!! Mbona wakati ZAHERA anasema kuwa kuna timu ilicheza na Yanga kuna wachezaji waliotoka Yanga walimwambia kuwa wamepewa Milioni 10 ili waikazie Yanga hawakuongea lolote? Na ilikuwa mwaka jana tu? Mbona kocha wa Mbeya City aliposema kuwa Simba wanahonga marefa hawakutoa tamko lolote? Na hata hao TFF walikaa kimya??
ReplyDelete