January 6, 2020

8 COMMENTS:

  1. Kwani hata Amisi Tambwe aliwahi kuushika mpira kwa mkono kabla ya kuingiza mpira wavuni hatukuona vichwa vya habari vya magazeti vikichobga. Hata kama sio penalt basi ingekuwa faulu matakoni kabisa mwa mstari boksi la penalt mna hakika gani kama simba ingekosa kufunga hiyo faulu?

    ReplyDelete
  2. Kwanini hawazungumzii kwamba ni red card kwa sababu Yondani alikuwa ni mtu wa mwisho kwenye ulinzi?Waandishi wacheni uyanga semeni ukweli.Red card ingeleta madhara makubwa kuliko hata penalti.

    ReplyDelete
  3. big boss,yondan kacheza faulo nje ya box so siyo penalty halal

    ReplyDelete
  4. Tuseme amecheza faulo nje ys box kwanini isiwe red card wakati alimshika Kagere akiwa ni mlinzi wa mwisho?Sheria inasema ukiwa last man ukimzuia mtu visivyo halali basi straight red card .Kwanini halizungumziwi hilo??

    ReplyDelete
  5. Hii ni sawa na mtoa rushwa anayelalamika kuombwa na kutoa rushwa bila kujua kuwa na yeye ni mtuhumiwa.haki bin haki ingetendeka bado mashabiki wangelalamika tu

    ReplyDelete
  6. Hata kama ilikuwa ni nje ya penlt box bado kulikuwa na kadi nyekundu kwa beki. Kilio kingekuwa ni kikubwa zaidi.

    ReplyDelete
  7. Ndio maana waamuzi wetu wataishia kuchezesha bongo, bado Sana mpaka wajitambue...

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic