January 6, 2020


OLIVIER Giroud, mshambuliaji wa Chelsea anaweza kuondoka muda wowote kuanzia sasa na kujiunga na klabu ya Inter Milan.
Kocha Mkuu wa Chelsea, Frank Lampard amethibitisha kuwa kuna uwezekano wa nyota huyo akasepa ndani ya kikosi cha Chelsea wakati huu wa usajili wa mwezi Januari.
Vita kubwa ipo mbele ya Newcastle United na Aston Villa ambao nao wanahitaji saini ya Giroud kwa mkopo ili akaungane nao.
Giroud mwenye umri wa miaka 33 mkataba wake unameguka msimu huu ndani ya Chelsea na Inter Milan wapo tayari kumpa dili nyota huyo. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic