SELEMAN Ndikumana mshambuliaji aliyeachana na Azam FC kwa kwa makubaliano na uongozi wake amejiunga na KMC.
Ndikumana kwenye kiosi cha Arstica Cioaba wa Azam FC hakuwa na nafasi jambo lililomfanya aombe kusepa.
Inaelezwa kuwa amepewa kandarasi ya miaka mitatu ndani ya KMC ambayo haijawa na msimu mzuri kwa mwaka 2029/20 kwa upande wa safu yake ya ushambuliaji ambayo mpaka sasa imefunga mabao 11 kwenye jumla ya mechi 15 ilizocheza.
0 COMMENTS:
Post a Comment