Kwanini Bodi ya Ligi hupanga mechi za Yanga na Simba siku tofauti tofauti. Kwa mfano Simba akicheza na Singida jumatano (namfua) Yanga yeye acheze na Lipuli Iringa Alhamisi kwanini nia yao ni ipi? Hawaoni hii inaweza ikazua malumbano yasiyo na msingi na kujenga hoja ya kwamba kuna kupanga hujuma, njama za matokeo kutokana na mwingine akijua mwenzake amepoteza mechi Jana yake yeye leo afanye jitihada kwa anavyojua yeye ili mradi ashinde? Bodi ya Ligi mnajiletea manung'uniko yasiyo ya lazima ...pangeni ratiba kiasi kwamba timu zote kubwa zicheze siku moja...na siyo kutofautisha siku!
Achana na mawazo mgando wewe angalia table ya epl utaona liverpool ana kiporo pale kwahyo itakuaje?hayo ni mawazo mgando na wala hayana tija ndani yake,ongea vitu vya msingi brother ila kwa suala la eti kwanini yanga anaanza then simba anafuata au why simba anaanza then yanga anafuata,what i see there unaonekana huna exposure ya ubongo katika suala la mpira,umeishia kuangalia ligi ya bongo tu jaribu kufanya ufuatiliaji na mpira wa england utajifunza kitu my brother.be blessed.
Kwanini Bodi ya Ligi hupanga mechi za Yanga na Simba siku tofauti tofauti. Kwa mfano Simba akicheza na Singida jumatano (namfua) Yanga yeye acheze na Lipuli Iringa Alhamisi kwanini nia yao ni ipi? Hawaoni hii inaweza ikazua malumbano yasiyo na msingi na kujenga hoja ya kwamba kuna kupanga hujuma, njama za matokeo kutokana na mwingine akijua mwenzake amepoteza mechi Jana yake yeye leo afanye jitihada kwa anavyojua yeye ili mradi ashinde? Bodi ya Ligi mnajiletea manung'uniko yasiyo ya lazima ...pangeni ratiba kiasi kwamba timu zote kubwa zicheze siku moja...na siyo kutofautisha siku!
ReplyDeleteAchana na mawazo mgando wewe angalia table ya epl utaona liverpool ana kiporo pale kwahyo itakuaje?hayo ni mawazo mgando na wala hayana tija ndani yake,ongea vitu vya msingi brother ila kwa suala la eti kwanini yanga anaanza then simba anafuata au why simba anaanza then yanga anafuata,what i see there unaonekana huna exposure ya ubongo katika suala la mpira,umeishia kuangalia ligi ya bongo tu jaribu kufanya ufuatiliaji na mpira wa england utajifunza kitu my brother.be blessed.
ReplyDeleteSimba katoka Zanzibar Jumatatu ila Yanga alikuwa Tz tangu Jumamosi sasa wote watachezaje siku moja hivi inaingia akili mdau mwenzangu?
ReplyDelete