January 10, 2020






Mshindi wa bonasi wiki hii ya Jackpot ya SportPesa Bi. Oliva Andrea Shirima kulia akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi mil 5,334,294/= na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bwana Tarimba Abbas katika ofisi zao jijini Dar es Salaam akiwa ni mwanamke wa kwanza kushinda bonasi kwa mwaka 2020.Jackpot ya SportPesa kwa sasa imesimamia kiasi cha shilingi 392,233,700/= TZS.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic