LEO, Januari 10, droo ya hatua ya 32 ya michuano ya Kombe la Shirikisho imechezeshwa na timu zilizotinga hatua hiyo zimemtambua mpinzani wake.
Kombe la FA lililochini ya Azam FC iliyotwaa mbele ya Lipuli linatarajiwa kuendelea mwezi huu Januari na mechi zinatarajiwa kuchezwa kati ya Januari 24-26, 2020:-
Namungo v Biashara United
Mtibwa Sugar v Sahare All Stars
JKT Tanzania V Tukuyu Stars
Simba v Mwadui FC
Yanga v Tanzania Prisons
Azam FC v Friends Rangers
Kagera Sugar v Might Elephant
Lipuli v Kitayosa
Gwambina v Ruvu Shooting
African Lyon v Alliance FC
Polisi Tanzania V Mbeya City
Ndanda FC v Dodoma FC
Majimaji v Stand United
Ihefu v Gipco FC
KMC v Pan Africans
Panama v Mtwivila City
Ule ulikua ni upepo tu,mwadui alikua na upepo siku ile,sasa akija kwakukariri matokeo yale ya mechi iliyopita ajiandae kupokea kichapo.
ReplyDeleteYanga walijua watapenya kwa urahisi.Wakijua kwamba wanaweza kupambana na Simba waliamua kupumzisha wachezaji wa kikosi cha kwanza..Yondani aliingia toka benchi baada ya kuwa tayari wamefunga.Lamine aliendelea kubaki benchi...Haruna na Sibomana hawakuwepo.Golini alikaa kipa namba tatu.Lengo kikosi cha kwanza kiwe fiti ili kucheza mchezo wa nguvu na rafu kama ilivyokuwa kwa Prison na Simba.Wakatunguliwa sekunde ya mwisho gemu plan ikaanza upya.Kikawa kisingizio toka kwa Nungaz eti wamekuja kushindana sio kushinda na kuwa hawakulitaka kombe lisije waumizia wachezaji!Sasa sijui kombe gani wana uhakika nalo...la FA au la Premium league
ReplyDelete