MARCUS Rashford, alifunga bao pekee la kufutia machozi dakika ya 70 mbele ya Manchester City wakati timu yake ikipokea kichapo cha mabao 3-1 mbele ya Manchester City.
Bao hilo halikufuta hasira za Kocha Mkuu wa Manchester United, Ole Gunnar Solksjaer ambaye amesema kuwa wchezaji walimuangusha kipindi cha kwanza.
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kupata Ushindi wa mabao 3-1 mbele ya United kwenye mchezo wa Carabao na ni ruksa Kwa Solskjaer kutabasamu.
Mabao ya City yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 17, Riyad Mahrez dakika 33 na Andreas Pereira alijifunga dakika ya 38.

0 COMMENTS:
Post a Comment