January 1, 2020


Taarifa zilizopo zinaeleza kuwa uongozi wa Simba umeamua kuachana na straika wake Wilker da Silva.

Taarifa imeeleza kuwa maamuzi hayo yamekuja kutokana na kutoridhishwa na kiwango cha mchezaji huyo.

Wilker tangu atue Simba amekuwa hana bahati ya kucheza zaidi ya kuingia akitokea benchi katika mechi kadhaa.

Inaelezwa kuwa mabosi wa Simba wameshapata mbadala wake ambaye anaweza tangazwa ndani ya wiki hii.

5 COMMENTS:

  1. Swadakta kabisa,na wala msiwe na pupa SIMBA maana kikosi ni kipana mno wala haina haja yakukimbilia ingizo jipya kulipa namba lisije likatuponza,uongozi pamoja na benchi la ufundi fanyeni kazi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ha ha ha ha, mnachekesha kweli mtawaacha Sana hao wahindi mnajifanya wabrazil nyooooooo!

      Delete
  2. ulisikia wapi Mbrazil anaejua soka akaja kucheza tanzania? hao ni jamaa waliokuja kufanya field afrika ndio simba wakawaona na wakababaika nao....

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic