UONGOZI wa Simba leo ukiongozwa na Mtendaji Mkuu, Senzo Mbatha, leoumeytia timu Bungeni, Dodoma.
Simba ipo kwenye mchakato wa kuzindua matumizi ya kadi za mashabiki.
Saa 4 asubuhi walikuwa kwenye tawi la benki ya Equity Uhindini katika uzinduzi wa Kadi za Mashabiki Kanda ya Kati ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai.

Wakati wao wakiendelea kutengeneza kashfa,klabu ya simba wanazid kufanya mabadiliko yatakayowaletea faida maradufu,ahsante sana uongozi wa simba kwa utendaji wakuaminika,waache wakazane watalipwa na hizo fitna na kashfa wanazozitengeneza.
ReplyDeleteNa kama ingekua yanga ndio wamekwenda wao hapo bngeni kufanya kitu kama hicho,hapa kwenye hili jukwaa pasingetosha leo,saleh jembe angepamba kwa mapambio yasiyo na mfano,lakin mnyama mambo yake kimyakimya mtaelewa tu mwaka huu,the time will tell and always muda hauongopi hata kidogo.
ReplyDeleteTHIS is simba BROTHER
ReplyDeleteKumbe Mnyama anapendwa kila kona. A real historical visit
ReplyDeleteSinema tu hizo. Hiyo team siyo yenu. Mwenye team yupo majuu anatangaza biashara zake. Nyie hamjui ata 4bilioni za kila mwezi zinatoka akaunti gani. Hamna tofauti na mashabiki wa Barhesa wananaoshangilia Azam. Nenda Msimbazi hamna kinachoendelea pale. Ofisi za team zimehamishiwa Masaki.
ReplyDelete