February 22, 2020


IMEELEZWA kuwa mabosi wa Real Madrid wapo kwenye hatua za mwisho kukamilisha dili la nyota wao Gareth Bale ili akajiunge na timu moja ya nchini China.

Jiangsu Suning inayoshiriki Super Ligi ya nchini China inahitaji saini ya mchezaji huyo.

Bale alijiunga na Real Madrid mwaka 2013 akitokea Tottenham Hotspurs kwa rekodi ya ada ya pauni milioni 83.7 imevuja kwamba anaweza kuondoka muda wowote.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic