February 26, 2020

IMEELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji wa timu ya Yanga, Bernard Morrison amepata ofa mezani kutoka Afrika Kusini zikiwa na lengo la kuipata saini yake.

Morrison amejiunga na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo amekuwa kwenye kiwango kizuri kwani amefunga mabao mawili akiwa na timu hiyo.

Morrison alitajwa pia kuingia anga za Simba ambao waliushtua uongozi wa Yanga na kufanya wakae chini ili waongeze mkataba na nyota huyo ambaye inaelezwa amesaini kandarasi ya miezi sita.


2 COMMENTS:

  1. Chukuwa kifaa hicho wa matopeni Hawana mbavu za kumpiriventi Myama kumteka huyo. Tumpate huyo na Molinga mambo raha tupu. Inasemekana uko mipango Morrison na Kocha wako kungolwa na kjrejeshwa huko watokako

    ReplyDelete
  2. Tunamchukuwa huyo bila shaka hao vyura hawana kitu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic