February 26, 2020

3 COMMENTS:

  1. duh wanahama leo halafu leo wana mechi...halafu utasikia waamuzi sio fair, kubebwa, harufu vyumbani...haya bwana..mimi napita tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli kabisa ulishosema watasingizia warefa na tff..mchezaji Leo anagame halafu ndio anahama

      Delete
  2. Hili gazeti linatumika kuleta mtafaruku na vurugu katika Klabu ya Yanga....kuweni makini kwani mnapandikiza mbegu ya chuki kwa mashabiki wa timu ya wananchi....madhara yake ni makubwa!...kuhama kwa mchezaji kwenda nyumba nyingine ni jambo la kawaida na wachezaji wa timu nyingi wanafanya hivyo ila nyinyi mmelichukulia kuwa negative....sifahamu nia yenu ni nini. Lakini inawezekana ndiyo katika maadui wanaoiandama Yanga...ambao mikakati ya Wananchi ni kupambana na makundi kama nyinyi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic