February 5, 2020

11 COMMENTS:

  1. KIONGOZI KAMA WEWE HAJ MANARA NINGETEGEMEA USEME UKWELI NA SUALA LIBAKI KWA REFEREE NA KIBENDERA WAKE SABABU KILA MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA NA HAPO UMEVUNJA IMANI YETU KWAKO

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haji anataka kutuambia TFF ipo mfukoni mwa Simba kiasi kwamba kila anayetaka kulalamika dhidi ya Simba, aende tu Polisi!

      Delete
  2. Kwa matamshi haya ya Haji Manara na endapo TFF watakaa kimya, Haji ameadhalilisha mpira wa miguu na NIDA.

    ReplyDelete
  3. Nyinyi ndio mtaodhalilisha mpira wa miguu kutokana na malalamiko yasiyokwisha hata ikafika hadi kupata wining pamoja na Kocha wenu jambo ambalo halijatokea kwa Simba hata Mara moja kila ikishinda Simba zinakuja kauli za kuotea na kubebwa na marefa

    ReplyDelete
  4. Simba kushinda ni kawaida musije na matokeo ya simba kufungwa mutaumia sana

    ReplyDelete
  5. Hawa jamaa inabidi watambuwe kuwa timu Yao ni mbivu na ipo hatari Hao wanawowakamata mkono mwisho watajichokea

    ReplyDelete
  6. Imeshajengwa taswira mbaya na hawa vyura kuwa Simba kila mechi inayoshinda au kutoka sare ni kuwa imebebwa...imehonga..imepuliza madawa na kila aina ya propaganda ya kuichafua Simba brandy.Tatizo hapa ni marefarii na sio Simba.Chama cha marefarii (TRFA)nao ni tatizo Kwa maana hatujawasikia wakitoa kauli kuhusu shutuma wanazopewa marefarii na wameacha shutuma hizi kuzagaa kiasi inaonekana ni kama kweli Simba inatoa hongo Kwa marefarii.Matokeo yake waamuzi wameshaanza kuwa waoga ktk kuchezesha mechi Kwa kuhofia hizi shutuma za kuchukua hongo.Mfano rejea mechi ya Simba vs Coastal Union wakati Kagere anafunga goli kwenye msitu wa mabeki na linakataliwa.Je tatizo hapo ni Simba au waamuzi?
    Mie nashauri chama cha waamuzi wangeitisha mkutano na wanachama wao wakae pamoja ili kujitafakari.Na mashabiki kama mna ushahidi wa rushwa nendeni na ushahidi Takukuru.Povu ruksa lkn si matusi.

    ReplyDelete
  7. Haji manara yupo sahihi sana hajakosea uongoz upo simba tatizo lipo wapi mtapiga kelele kama ww shabiki wa yanga pambana na timu yako yasimba yaache2 mwixho upoo na utafikaa nawaombeni wapenzi wa yanga kulalamika si kuisaidia timu yetu naipenda yanga mimi ni yanga

    ReplyDelete
  8. Mnajibalaguza tu ukweli mnaujua na hiyo dhambi itawarudia tu ndio maana hamjui hata kutafuta majina mnajifanya neno la vyura kanzisha msemaji wenu nyoooooo

    ReplyDelete
  9. Azam media kwa huyu kuuza bidhaa zenu mtaenda polisi tuu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic