February 23, 2020

TIMU ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars imekamata nafasi ya pili kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika Kaskazini (UNAF) yaliyokamilika jana nchini Tunisia.

 Mabingwa wa mashindano hayo ambayo yalihusisha mataifa matano ikiwa ni pamoja na Morocco, Mauritania, Algeria na wenyeji Tunisia ni nchi ya Morocco.

Michezo na matokeo ya Twiga Stars katika mashindano hayo yapo namna hii:-Tanzania (7-0) Mauritania
Algeria (2 -3) Tanzania
Tanzania (2-3) Morocco
Tunisia (1-1) Tanzania

2 COMMENTS:

  1. Hongereni mmejitahidi Sana twiga stars mmejitahidi mnafanya kaxi kwa uzalendo wa nchi yenu sio Kama wachezaji wa kiume wanacheza vzr tu katika vilabu vyao wakicheza na Simba na yanga wakiitwa team ya taifa hamna kitu

    ReplyDelete
  2. Kwenye heading nafasi ya tatu, kwenye text nafasi ya pili.mwandishi dishi limeyumba au hauko makini?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic