February 22, 2020


UONGOZI wa Yanga umewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi kesho Mkwakwani kuipa sapoti timu yao.

Yanga itamenyana na Coastal Union kwenye mchezo wa pili wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Februari 23, Tanga.

Charles Mkwasa, Kocha Msaidizi wa Yanga, amesema wanatambua mchezo utakuwa na ushindani mkubwa ila hilo haliwapi hofu wapo tayari.

"Mchezo utakuwa mgumu hilo lipo wazi kikubwa tunawaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi kutupa sapoti,".

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic