February 22, 2020



LEO Uwanja wa Taifa, Simba itawakaribisha Biashara United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa  majira ya saa 1:00 usiku.

Balaa kubwa lipo kwenye idadi ya mabao ya kufunga kwa timu ya Biashara United iliyo chini ya Francis Baraza imefunga mabao 15 kwenye mechi 22 ilizocheza huku Simba ikifunga mabao 47 kwenye mechi 23 ilizocheza.

Achana na mabao hayo, ukichukua mabao ya Meddie Kagere mwenye mabao 13 na mabao ya Jonas Mkude mwenye mabao mawili unapata idadi ya mabao 15 ya Biashara United.

Simba inayonolewa na Sven Vandenbroeck ipo nafasi ya kwanza na pointi 59 na Bishara United ipo nafasi ya tisa ina pointi 32.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic