March 10, 2020

.

NEVER Tigere nyota wa Azam FC leo amewanyanyua mashabiki wa Azam FC kwa kulipa kisasi cha kufungwa bao 1-0 mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mabatini.

Azam FC leo imesepa na point tatu kwa kushinda mabao 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru

Tigere alipachika mabao hayo kwa kuanza kipindi cha kwanza dakika ya  23 na kipindi cha pili dakika ya 53.

Ruvu Shooting ilipata bao la kufutia machozi dakika ya 73 kupitia kwa Sadat Mohamed dakika ya 73.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic