March 12, 2020


JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Spurs amesema kuwa kwa sasa kwake mambo ndani ya kikosi hicho ni magumu kutokana na aina ya kikosi alichonacho.

Mourinho alipigwa chini jumla kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kufungwa mabao 3-0 mbele ya RB Leipzing na kufungashiwa virago kwa jumla ya mabao 4-0 hatua ya 16 bora. 
"Tatizo nililonalo kwa sasa ni ugumu wa kikosi changu nilichonacho sio rahisi kunipa matokeo mazuri na hili sioni likiisha kesho kwa kweli niwe muwazi mambo bado magumu," amesema.

Spurs itakuwa na kibarua kingine Jumapili mbele ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.

1 COMMENTS:

  1. Mkifungwa huwa huwandiki aibu yenu kandambili nyinyi kama hamjacheza vile tulipo fungwa sisi umeandika wiki nzima mbona mmefungwa leo na KMC huwandiki andikeni kandambili aka vyura wa jangwani

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic