March 4, 2020


UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kumalizana na Azam FC leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa majira ya saa 1:00 usiku.

Azam FC itamenyana na Simba ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili wakiwa na kumbukumbu ya kukubali kichapo cha bao 1-0 kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Taifa.

Sven Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wanatambua umuhimu wa mchezo wa leo watapambana kufikia malengo yao.

"Kazi ni moja tu kuendelea kutafuta ushindi ambao utatupa pointi tatu, ushindani ni mkubwa nasi pia tunapambana kutafuta matokeo,".

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic