IMEELEZWA kuwa staa wa Atlectio
Madrid, Alvaro Morata ameanza kurejesha matumaini ndani ya kikosi
hicho kutokana na afya yake kuimarika kwa kiasi kikubwa.
Morata
alicheza akiwa na majeraha katika mchezo wa Ligi ya
Mabingwa Ulaya hatua ya 16 bora dhidi ya Liverpool, Anfield.
Staa huyo
aliumia nyonga hivyo akawa ametupwa nje kabla
ya ligi kupigwa stop kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona.
Imeripotiwa kuwa Morata kwa
sasa anaendelea vizuri akiwa chini ya uangalizi wa madaktari akiwa na program
maalum za mazoezi ili kujiimarisha.
Taarifa ilisema kuwa: “Kwa
sasa Morata anaendelea vizuri na majeraha yake akiwa
nyumbani kama inavyofahamika janga la sasa la Corona.








0 COMMENTS:
Post a Comment