April 4, 2020


GOMES Angel nyota anayekipiga ndani ya Manchester United amewekwa kwenye rada na Barcelona.

Kinda huyo anayekipiga ndani ya United mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu.

Gomes ana miaka 19 anataka kutimka ndani ya kikosi hicho licha ya United kumpa ofa ya pauni 25,000 kwa wiki.


Uwezo wake umewavutia vigogo ndani ya La Liga hivyo kuna uwezekano United wakaikosa huduma yake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic