HIKI hapa kikosi cha Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amtaja muuaji wao aliyewatungua Machi 8 Uwanja wa Taifa:-
1. Manula wa Simba
2.Kapombe wa Simba
3.Job wa Mtibwa Sugar
4. Tshabalala wa Simba
5. Mwamnyeto wa Coastal Union
6. Sure Boy wa Azam FC
7. Tshishimbi wa Yanga
8. Chama wa Simba
9. Morrison wa Yanga
10. Bocco wa Simba
11. Kagere wa Simba







Huu ushabiki wa blogu hii umevuka mpaka.Yaani mmeona aliyeifunga Simba tu?Unamfunga Simba huku umezidiwa pointi 20 inasaidia nini?Unawakumbuka wachezaji wa Watford walioifunga Liverpool?Ishi ni kwamba inferiority complex inawasumbua.Muuaji wa Simba muuaji wa Simba mpaka lini?
ReplyDelete