METACHA Mnata, mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa ndani ya kikosi hicho kuna ushindani mkubwa wa namba jambo linalomfanya azidi kupambana kuwa bora.
Ndani ya Yanga kuna makipa watatu ambao ni Farouk Shikalo, Ramadhan Kabwili pamoja na Mnata mwenyewe.
"Ushindani wa namba ni mkubwa kwani kila mmoja ana kitu cha kipekee, jambo hilo linanifanya nami nipambane kuwa bora kwani napenda kufikia malengo niliyojiwekea.
"Shikalo amekuwa akinipa darasa hasa kwa vile vitu ambavyo anavifanya tofauti na mimi, Kabwili pia nimekuwa nikimuona mazoezini akifanya kazi yake kwa umakini mwisho wa siku wote ni familia moja," amesema.

Hamna mpango. Mumeishiwa na habari. Munazunguka na habari hizo hizo tu kila siku. shame on you....!
ReplyDeleteHalafu kila siku mnaandika Mnata ni kipa namba 2; fuatilia rekodi mpya utuambie kati ya Mnata na Shikalo yupi ni namba moja na yupi ni namba 2? Mnalopi na kupest taarifa za mwanzo wa msimu mpaka leo hamjaelewa usahihi wa taarifa zenu
ReplyDelete