June 27, 2020


BAADA ya Gwambina FC kukwama kupanda Ligi Kuu Bara kwenye mchezo wake uliopita dhidi ya Transit Camp Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo ina kazi nyingine mbele ya Pamba FC.

Ikiwa nafasi ya Kwanza Kwenye kundi B na pointi zake 41 iwapo itashinda mchezo wa leo ikapanda Ligi Kuu Bara jumla ikipoteza inabidi isubiri mpaka mchezo wake mwingine kwani itabakiwa na mechi mbili .
mkononi.

Mechi hiyo itapigwa majira ya saa 10:00 jioni Uwanja wa CCM Kirumba,Mwanza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic