Dakika ya 90 zimekamilika
Mbeya City 0-2 Simba
Dakika ya 90+5 Miraj anafunga bao linafutwa na mwamuzi baada ya Kenned Kunambi wa Mbeya City kuchezewa faulo
Dakika 90 zimekamilika zinaongezwa 5
Dakika ya 82, Chidebere anatoka anaingia Said Kipanga
Dakika ya 73, Said Ndemla anatoka anaingia Mzamiru Yassin
Dakika ya 70 Abdul Suleiman wa Mbeya City anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 55 Luis anaingia anatoka Kahata
Dakika ya 54 Bocco goal Asisti Kahata
Kipindi cha pili kimeanza
HT: Mbeya City 0-1 Simba
Kipindi cha kwanza
Mbeya City 0-1 Simba
Dakika 45 zimekamilika zinaongezwa dakika tatu
Dakika ya 44 Mbeya City wanafanya jaribio haizai matokeo
Dakika ya 39 Chama anapiga faulo wachezaji wa Simba wanaotea
Dakika ya 35 Miraj anafanya jaribio linaishia mikononi mwa kipa wa Mbeya City
Dakika ya 29 Peter Mapunda anafanya jaribio nje ya 18
Dakika ya 23 Simba wanafanya shambulizi kwenda Mbeya City.
Dakika ya 22 Mbeya City wanafanya shambulizi linaokolewa
Dakika ya 15 Simba wanaanzisha mashambulizi kwenda Mbeya City
Dakika ya 13 Simba inapiga kona ya kwanza haizai matunda inaishia kwenye kichwa cha Wawa.
Dakika ya 10 Simba wanapeleka mashambulizi Mbeya City
Dakika ya 5 Goal John Bocco asisti ya Clatous Chama
Mbeya City wamepiga kona mbili hazijazaa matunda
3 zatosha leo
ReplyDeleteMnyama Hana sumile kaa upande usipigwe kikumbo. Gongowazi nyanyuweni mikono juu kutoa saluti muanze kumtuliza Morison
ReplyDeleteGoli la SIMBA limekataliwa kimakosa.Wachezaji wa Mbey City wamegongana wenyewe kwa wenyewe. Ingekuwa timu fulani wamenyimwa goli hilo basi wangefanya maandamano .Ukikataa goli la Simba unapunguza magoli tu.Haiathiri matokeo.
ReplyDelete