June 24, 2020


FT:Yanga 2-2 Namungo
Dakika ya 90+5 Molinga anaweka usawa kwa kichwa

Dakika 90 zimekamilika zinaongezwa 5
Dakika ya 83, Makame anaingia anatoka Kaseke
Dakika ya 79, Gooal Molinga anafunga Dakika ya 71 Raphael Daud anaingia akichukua nafasi ya Nchimbi 
Dakika ya 69 Gooooal Manyama
Dakika ya 63, Adeyum anafunga bao akiwa nje ya 18, mwamuzi wa pembeni anasema Yanga wameoteaDakika ya 57, David Molinga anaingia anatoka Patrick Sibomana,  Balama Mapinduzi anatoka nafasi ikichukuliwa na Tariq Seif 
Dakika ya 54 Juma   Abdul anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 53 Manyanya anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 51 Manyanya Hashim mwenye mabao matatu na Asisti tatu anapiga kona imefungwa na gooooolEdward Manyama
Dakika ya 50 Namungo wanapata kona ya tatu
Dakika ya 49 Namungo wanaanza safari kwenda Yanga


Kipindi cha pili kimeanza 
HT: Yanga 0-0 Namungo 
Kipindi cha Kwanza 
Uwanja wa Taifa

Yanga 0-0 Namungo FC

Dakika 45 zimekamilika inaongezwa moja
Dakika ya 45 Nchimbi ndani ya 18 anacheza faulo
Dakika ya 44 Said Juma anapiga off target pasi ya Deus Kaseke 
Dakika ya 41 Mapinduzi Balama anafanya jaribio linakuwa ni  off target, Nchimbi anafanya jaribio inakuwa off target nyingine 
Dakika ya 39 Bigirimama Blaise anafanya jaribio halizai matunda 
Dakika ya 37, George wa Namungo anagongesha shuti lake Kwenye mwamba wa Mnata Dakika ya 30 Yondani anaokoa hatari ndani ya 18
Dakika ya 29 Nchimbi anamchezea faulo Jukumu Kibanda
Dakika ya 28 Abdul anachezewa faulo Dakika ya 20 Lusajo anafanya jaribio linaishia mikononi mwa Mnata 
Dakika ya 17 Balama Mapinduzi anafanya jaribio nje yab18 linagonga mwamba.
Dakika ya 10 Fei Toto anafanya jaribio halizai matunda  Dakika ya 7 Patrick Sibomana alifunga bao mwamuzi amesema ameotea

5 COMMENTS:

  1. Watani mmekwisha.Mmebakia kuvunja miguu watoto wa watu Njia nyeupe kwa mnyama. Masikini mamilioni yaliyomwaga. Hamna timu. Mnyama hoyee

    ReplyDelete
  2. Twakungojeeni mitaani. Poleni sana. Hayo ndio matokeo ya zomeazomea ya nyota wenu. Mrejesheni Zahera kuokia jahazi

    ReplyDelete
  3. Shangilia matokeo ya timu yako, yetu tuachie wenye nayo

    ReplyDelete
  4. Refa kawauma Yanga goli 2 eti offside....mmh hii ligi ya mwaka huu

    ReplyDelete
  5. Unaambiwa biriani la ubingwa kwa Mnyama linangojewa kuliwa lakini ukoko huenda wakagaiwa jirani kama wataweza

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic