Leo, Mbeya City ilikuwa na kibarua cha kumenyana na Klabu ya Simba, mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Sokoine ambapo wamepoteza kwa kufungwa mabao 2-0.
Kwenye mchezo huo mashabiki walijitokeza kwa wingi huku wakisahau kufuata muongozo uliotolewa na Serikali kwa kukaa umbali wa mita moja ili kujilinda dhidi ya Virusi vya Corona.
Timu ya kwanza ambayo ilikutana na rugu la Serikali ni JKT Tanzania ambayo ilifanya hivyo Juni 17 ilipomenyana na Yanga kwenye sare ya kufungana bao 1-1.
Leo Mbeya City imefanya hivyo jambo ambalo Serikali imesema kuwa itachukua hatua katika hili.
Lengo kubwa ambalo linafanywa na Serikali ni kulinda afya za mashabiki na watanzania kiujumla.
Hii itakuwa ngumu popotw pale timu kubwa zitakuwa zinacheza
ReplyDelete