June 25, 2020

4 COMMENTS:

  1. Mbona waandishi hawaendi msimbazi kuulizia kuhusu uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu ambapo Serikali ineamuru ufanyike....lakini kutwa kutafuta habari za Yanga???Watu wamechoka kutwa habari za Yanga zinapoteza mvuto na ladha sasa kama hamlijui hili mlijue sasa...nyie tafuteni habari za Simba sasa!

    ReplyDelete
  2. Kaka nyie si ndio mnajinasibu timu ya wananchi na mara ooh mabingwa wa kihistoria,tulieni tyuu mpapaswe vizuri kudadadeki....

    ReplyDelete
  3. Wewe nae unachosha na vihadithi vya njama.Simba wameagizwa kufanya uchaguzi baada ya uchaguzi mkuu. Hizo fikra zako duni za kwamba wakiuliza utaleta mgogoro unajidanganya.Simba upp level nyingine. Hamna muda wa wachumia tumbo.

    ReplyDelete
  4. Mweleze huyo bingwa wa conspiracy theories. Yeye kila jambo ni conspiracy against Yanga.Grow up hakuna cha njama Manji shoot wenyewe kwa bunduki zenu.Wacha kuhusisha ujinga wenu na Simba.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic