MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
Jiji kimyaaaaa.4G sio muchezo.Aliyekuwa ananadiwa atokomea na bodaboda. Makanjanja sijui wataandika nini leo?
ReplyDeleteSifa za mchezo wa soka ni dakika 90, siyo waleteni hao, mara kocha nipange niwafanye vitu Simba!!! Ila 4G ni mbaya sana angalau kagoli kamoja sawa, sasa nne kweli, Jangwani mnakwama wapi?
ReplyDeleteWamenyooshwa! Walipiga domo sana baada ya kale kagoli kamoja ka kalikotokana na mpira wa kutengwa. Hongera sana Simba Sports Club. Mnajua.
ReplyDelete