July 30, 2020


KIUNGO wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison leo alikutana na joto la kukamatwa kwa muda na jeshi la Polisi Tanzania.

Jeshi la Polisi Dar limethibitisha kukamatwa kwa muda kwa Morrison katika kituo cha Oysterbay.

RPC wa Kinondoni, Rodgers Bukombe amesema kuwa Morrison alikamatwa baada ya kupishana maneno na askari waliotilia shaka gari lake.


2 COMMENTS:

  1. Huyu bwana maisha ya bongo yamemshinda, ni bora aondoke tuu. Akiendelea k7baki hapa atakuja kuleta valangati hadi kuharibu image ya nchi yetu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic