Hii hapa orodha ya wachezaji 30 waliochaguliwa kuingia kwenye mchakato wa kusaka mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara,2019/20 baadaye watapunguzwa kufika 10:-
Nico Wadada, Idd Seleman 'Nado' na Obrey Chirwa (Azam FC), Abdulmajid Mangaro, Daniel Mgore, (Biashara United), Ayoub Lyanga na Bakari Mwamnyeto, (Coastal Union),David Luhende, Yusuph Mhilu na Awesu Awesu (Kagera Sugar) Wazir Junior, (Mbao).
Lukas Kikoti, Bigirimana Blaise na Relliants Lusajo,(Namungo FC), Shomari Kapombe, Meddie Kagere, Aishi Manula,Clatous Chama,Francis Kahata,John Bocco, Jonas Mkude na Luis Miqussone wa Simba.
Mapinduzi Balama, Deus Kaseke, David Molinga, Juma Abdul na Feisal Salum wa Yanga,Martin Kigi wa Alliance, Daruesh Saliboko wa Lipuli FC na Marcel Kaheza wa Polisi Tanzania.
Mkude sijui wametumia kigezo gani
ReplyDeleteNafasi anayocheza na msaada wake katika magoli simba waliyofunga
DeleteDah Shabalala hayupo
ReplyDeleteHakika mchango wake pale Simba ni mkubwa mno. Sijui wametumia vigezo gani waviweke wazi wadau na wananchi wachangie uteuzi
ReplyDelete