Hamchoki kusema uwongo mbona yule W Costal Union mmeshindwa na huyo ndugu yake Niyonzimia mkidhania bei chee karejea kwao. Wachezaji wote mliowataja wa kigeni sasa Inafika 50 na hata mmoja haijaonekana. Mtaleta wachezaji wachezaji chip muukose ubingwa tena kwa mara ya nne muanze kuwazommea na kuwafukuza

ReplyDeletekama Yanga waongo si ndio furaha yako sasa povu la nini ???
DeleteWenzenu wanauza magazeti wakati nyie mnatoleana mapovu mitandaoni. Vitendoo vitaongea zaidi kuliko maneno...
ReplyDeleteYajayo yanafurahisha sana...🤸🏃🤪