August 3, 2020


UONGOZI wa Yanga imeelezwa kuwa upo kwenye mazungumzo na nyota wake saba ambao bado wana mkataba na timu hiyo ili waweze kusitisha nao mikataba.

Nyota hao ni pamoja na:-Alli Mtoni,'Sonso', ambaye ni beki ingizo jipya kutoka Lipuli, Muharam Issa, Alli Alli ambaye ni beki naye ni ingizo jipya kutoka KMC.

 Yikpe Gnamien mshambuliaji mwili jumba ingizo jipya kutoka Gor Mahia, Patrick Sibomana mshambuliaji raia wa Rwanda, Erick Kabamba kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji na Rafael Daud mzawa mshambuliaji.

3 COMMENTS:

  1. Sasa kama yanga inaacha wachezaji 14, inapata wapi ujasiri wa kulalamika kuwa ilikuwa inahijumiwa na TFF na kuwa simba ilikuwa inapendelewa? Wakubali walikuwa na timu dhaifu sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. swala la ubora haliwezi likahalalisha hujuma.

      Delete
    2. Maneno ya mkosaji, tengenezi timu eti hujuma kwa timu gani!! mkiwa mna akili za kuwa mnafanyiwa hujuma basi endeleeni kuwa na akili mgando hizo hizo alafu tutashuhudia siku Yanga anapigwa kumi bila(10 -0) na Simba kwa sababu mmelalia kwenye Uchawi, Mkifeli Simba anabebwa, mkifeli tena TFF WANATUHUJUMU Twendeni tu tutaona mwisho wake

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic