August 3, 2020


KELVIN Yondani na nahodha msaidizi wa Klabu ya Yanga, Juma Abdul wapo kwenye mazungumzo na Klabu ya Yanga ili waongeze muda wa kuitumikia klabu hiyo.

Wakongwe hao mikataba yao muda wao ndani ya Yanga umeisha hivyo uongozi unazungumza nao ili wabaki ndani ya kikosi hicho.

Yondani amekuwa ni mkongwe kwa muda mrefu na amekuwa  akionyesha uzoefu wake ndani ya uwanja.

Abdul, amezidi kuwa kwenye ubora wake ambapo msimu huu ametoa jumla ya pasi sita za mabao kwa guu lake la kulia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic