BREAKING: Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC, Senzo Mbatha ametangaza kujiuzulu nafasi yake katika klabu hiyo,leo Agosti 9.
Senzo ameishukuru klabu kwa mafanikio yaliyopatikana kwenye kipindi kifupi.
Kwa msimu wa 2019/20, Senzo ameweza kushuhudia timu ikitwaa mataji matatu ambayo ni pamoja na ngao ya jamii, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho.
Habari zinaeleza kuwa sababu ya kujiweka kando ni kutokuwa na maelewano mazuri ndani ya Simba kwenye masuala ya uongozi.
Kumekucha
ReplyDeleteMpira Tanzania siyo kabisa. Timu imepata mafanikio na badala ya kuweka mipango kwa ajili ya mafanikio zaidi inasherehekea kwa kuanzisha migogoro
ReplyDeleteIt's a matter of agreeing not to disagree. Sio lazima kuwe na migogoro ni maisha ya kawaida kwenye Taasisi inayokua.
DeleteEnter your reply...kutakuwa kuna tatizo
DeleteEnter your reply...kutakuwa kuna tatizo
DeleteEnter your reply...kutakuwa kuna tatizo
DeleteEnter your reply...kutakuwa kuna tatizo
DeleteCEO ni mwajiriwa kama alivyo coach, katibu au mhazini. Huenda amepata nafasi nzuri zaidi, tumshukuru kwa aliyotusaidia maisha yaendelee. Kabla ya yeye alikuwapo mzawa Cresensius Magori aliyeipa Simba ubingwa mara mbili na robo fainali ya CAF Champions League
ReplyDeleteVichaa wanaongoza vichaa huyu jamaa siyo kichaaa kumbuka niliuliza Ukisasa wa Simba hamkunielewa CEO wa Simba ni msemaji wenu ndo mnaendana naye Amina
DeleteWe chizi kweli wanajiuzulu ma C.E.O timu kubwa duniani Itakuwa Simba
DeleteKwa style alio ondokea kutakua na tatizo, yeye sio kichaaa kiondoka wakati wa mafanikio, mikia watajitahidi kufunika Ili kuwafariji washabiki wao lkn ngoma ndio unaanza.
ReplyDeleteSio jambo la ajabu kusikia coach's nae anafukizwa.
Ulikuwa unataka akugae wewe ndo uje kaondoka kwa uzuri tu, Manyani Fc mtateseka sana kama mnafikiri senzo ndio kila kitu Simba wehu nyinyi
ReplyDeleteHahaha waache wafu wazikane hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya yesu wa nazareti
ReplyDeleteMbinafsi sana huyo mwache aende zake yeye nani? Kafanya nini simba? Aende zake
ReplyDeleteMtashuka daraja na timu yenu na viongozi wenu wasiojua kanuni za mpira
ReplyDeleteMtashuka daraja na timu yenu na viongozi wenu wasiojua kanuni za mpira
ReplyDeleteJamani msikariri kuwa kuondoka kwake lazima kuwe kumetokana na tatizo. Yawezekana ameahidiwa mambo makubwa zaidi huko aendako baada ya kuonekana amefanya mafanikio Simba. Kumbuka hata alipotoka South Africa, alikuwa CEO wa klabu pia, lakini alikuja Simba kwa kuangalia maslahi, na si kwa kukimbia mgogoro! Kila la heri, watengenezee wananchi njia, ila wakulipe mshahara, wasilete mchezo
ReplyDeleteKama msemaji wenu hajai na kupwa sikiliA
DeleteZa anavyo bwabwaja Wasafi Fm,kwa maelezo yake ya leo na vipindi ambavyo amekuwa anavifanya pindi mfukuzapo makocha eg Uchebe .Mimi Nina walakini na uadirifu wa Simba kwenye huu mchezo ,ukisikia anavyo mnanga aloitwa CEO wao utajua kweli Simba mkapimwe akili
Ila nyinyi kocha wenu alishawapima akajua kabisa akili zenu ni kama Monkey "its like a monkey"
Delete