August 12, 2020

 


AMRI KibengoTanganyika kiungo aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Inter Stars De Bujumbula ya Burundi msimu wa 2020/21 atakipiga ndani ya Geita FC ya Mwanza inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza.


Kiungo huyo aliibuka ndani ya Klabu ya Inter Stars akitokea timu ya FC Kumnyange ya Ngara.


Pia Geita imekamilisha kupata saini ya mshambuliaji Seleman Mwalimu kutoka Klabu ya Mawenzi FC ya Morogoro.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic