August 3, 2020


HAWA hapa nyota 15 inaelezwa kuwa wana uhakika wa kukipiga ndani ya Yanga msimu wa 2020/21.

Jina la kiungo mshambuliaji Bernard Morrison ambaye amekuwa kwenye mvutano na Yanga lipo ndani ya orodha hii.

Kiungo huyo amekuwa kwenye mvutano mkubwa na timu yake ishu kubwa ikiwa ni suala la mkataba wake ambapo yeye anaeleza kuwa dili lake ni la miezi sita limekwisha huku Yanga ikieleza kuwa ana kandarasi ya miaka miwili.

 Nyota ambao wana uhakika wa kukipiga Yanga ni hawa hapa:-Farouk Shikalo kipa namba moja wa Yanga,Ramadhan Kabwili kipa namba tatu wa Yanga,Metacha Mnata kipa namba mbili wa Yanga,Haruna Niyonzima, Lamine Moro na Bernard Morrison.

Feisal Salum, Juma Mahadhi,Adeyum Saleh,Said Juma Makapu,Balama Mapinduzi,Deus Kaseke,Ditram Nchimbi, Abdulaziz Makame na Paul Godfery.

11 COMMENTS:

  1. Hata morisson? Sasa ya nimi kushtakiana hadi FIFA?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ili kumzuia asijaribu ujanjaujanja wake na wanaomrubuni. Vinginevyo arudishe fedha alizochukua na ziada yake. Kisha aendelee na wehu wake vinginevyo azitolee jasho

      Delete
  2. Hawa wachezaji ndio wataizuia Simba bila hata Simba kusajili?,Mimi ni Yanga lakini tutaendelea na visingizio.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Waongeze wachezaji wengine waweze kuongeza ushindani

      Delete
  3. Tunategemea gsm naviongoz mtafanya usajili kwaumakin mkubwa sana

    ReplyDelete
  4. Tunategemea gsm naviongoz mtafanya usajili kwaumakin mkubwa sana

    ReplyDelete
  5. Tunategemea gsm naviongoz mtafanya usajili kwaumakin mkubwa sana

    ReplyDelete
  6. Nakusa mkweli kwa nafsi yangu Ngassa angebakia.

    ReplyDelete
  7. Unamuacha banka unamchujua mauya.... Ni tope na sio akili timikifu

    ReplyDelete
  8. Yupi bora banka au mauya? Mefeli tayar

    ReplyDelete
  9. Kama wanaachwa wachezaji zaidi ya 10 maana yake timu ilikuwa mbovu kupitiliza. Hakukuwa na haja ya kulalamikia kuwa simba anabebwa/anapendelewa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic